Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa kweli, ukapotea halaf. Ila ni mwamba na ww, chupa nzima! [emoji23]


Hahah nataka nianze na 2 kwakwelk..ss nafanyaje best..maisha robo haya...huku kuna kufuru had unabak unashangaa watu kbl ya kunywa wanamwagia cret zima chini ati wanapunguza vumbi😂😂😂😂😂 nyantuzu mm handsup..
 
Nipo vuga Restaurant Moro safari bia kubwa ianashuka kweli
IMG_20190428_210308.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom