The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
dudu la yuyuuu..aga aga...😂😂mods mshindwe kbs kuuficha huu uzi..Asante boss mtoto..khaa nimeutafta siuon kbs..😣😣manengelo huu hapa.. Naona unaonekana na kupotea uzi. Labda kamati imepanga kuutoa.. [emoji28]
Au boss ulikua uko 'vyombo', ukawa unautafuta International forum. ! [emoji28]dudu la yuyuuu..aga aga...[emoji23][emoji23]mods mshindwe kbs kuuficha huu uzi..Asante boss mtoto..khaa nimeutafta siuon kbs..[emoji21][emoji21]
Au boss ulikua uko 'vyombo', ukawa unautafuta International forum. ! [emoji28]
[emoji28].. Style yako ya ububu idumishe.. Humu tuna wanawake wawili.. Ww umeonekana leo.. Bado blaki womanHhaa leo nipo vyombo...nimejilipua.....!shughuli kurudi nilikotoka..maana lugha haipandi kbs[emoji23][emoji23]NIOMBEE ..niliufind chitchat sijauona...
Acha kunywa juice wewe, kunywa pombe a.k.a 42alcHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
[emoji23][emoji23]acha basii uongoSinza kwa Swai. Nimekuona [emoji23][emoji23]
Aliokwambia uje kwenye uzi huu nani kenge jike mgumba uliekatwa mkiaHakuna mada nyingine? Kila siku walevi na wanywa pombe! Kwani ukipenda pombe sisi humu inatuhusu nin? Maana naona umekomaa kweli2 acheni utoto!
We umelazimishwa kuingia humu? Tafuta nyuzi za kidini... ShurbaaaamitHakuna mada nyingine? Kila siku walevi na wanywa pombe! Kwani ukipenda pombe sisi humu inatuhusu nin? Maana naona umekomaa kweli2 acheni utoto!
Hakuna mada nyingine? Kila siku walevi na wanywa pombe! Kwani ukipenda pombe sisi humu inatuhusu nin? Maana naona umekomaa kweli2 acheni utoto!
Harudii tena kuingilia maisha ya watuHivi unaakili sawasawa kweli?
Au huijui JF vizuri??
Tafuta panapokustahili jinga wewe
After Heart Marathon...View attachment 1083177
Kafie mbere in Jiwez voice.Hakuna mada nyingine? Kila siku walevi na wanywa pombe! Kwani ukipenda pombe sisi humu inatuhusu nin? Maana naona umekomaa kweli2 acheni utoto!
Hongera sanaAfter Heart Marathon...View attachment 1083177
Nipo mwalimu [emoji23][emoji23][emoji28].. Style yako ya ububu idumishe.. Humu tuna wanawake wawili.. Ww umeonekana leo.. Bado blaki woman