Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Embu kwanza tuanze Mei mosi, japo hatuna kazi hapa mjini. Brokers,
IMG-20190430-WA0065.jpeg
 
Walipa kodi wenzangu na sie hatuwezi pata siku yetu ya wanywa pombe duniani?
 
Karibuni Hapa Tusherehekee Mosi Hapa Taifa kwa Pembeni Kuna tubaa Sijui tunaitwaje , Ila Warembo Wa Dar Bhana, Wote Wanakunywa Soda, Hadi Nimepakumbuka AR, Mida hii Wote Mnaongea Lugha Moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom