Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_0007.JPG



Oooiii oooiii
 
Nilikuwa kwenye kiparty fulani na huyu mwanamke tumerudi home ananiletea gubu za pombe,kaenda chumbani mimi nipo sebuleni,sasa hivi kalala fofofo na najua kuamka itamchukua siyo chini ya masaa sita nataka nimtoroke niende kwa mchepuko afu niwahi kurudi anikute nimelala sebuleni kama usingizi ulinipitia vile.Hivi ningekuwa sijanywa ningewaza hivi kweli?
We zama fasta kwa house girl upige viwili urudi sebuleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom