Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Njagi na Vant sio vitu vizuri kabisa.
Hahahaha ni hataree me mwenyewe nimestop kwa mda usojuilkiana maana naamkaga asubuhi memory zote za jana na juzi zina kua zimefutika yaan ku recall matukio ya juz na jana inanichukua mda sana japo sio kwamba siayakumbukai
 
Tunaendelea kulipa kodi hata kama tuko ndani
IMG-20190421-WA0097.jpeg
 
Hahahaha ni hataree me mwenyewe nimestop kwa mda usojuilkiana maana naamkaga asubuhi memory zote za jana na juzi zina kua zimefutika yaan ku recall matukio ya juz na jana inanichukua mda sana japo sio kwamba siayakumbukai
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi hapa ndo naacha kabisa naona imeniletea shida na familia.Jana niliongea vitu vya ajabu havijawahi tokea imebidi nmwambie wife nmerogwa.ila kiu kweli mitungi imenisaliti inabidi nipumzike kama sio kuacha.
Mwanangu ulizingua, kwaio ikabidi useme umelogwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom