Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mixer ya jana hii
IMG_20190426_165044.jpeg
 
Juzi tarehe 25/04 nilimeza vidonge viwili vya fragly metronidazole ,ni kwa mara moja tu mida ya asubui kisha sijarudia tena hadi mda huu

vipi wazee inaweza ikawa na side effect yeyote ,mana kiu imenishika balaa
 
Haya maswali hakuna mnywa pombe ambae hajawahi kuuliza [emoji23][emoji23] ina maana wewe huna namba ya dr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom