Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nilikuwa kwenye kiparty fulani na huyu mwanamke tumerudi home ananiletea gubu za pombe,kaenda chumbani mimi nipo sebuleni,sasa hivi kalala fofofo na najua kuamka itamchukua siyo chini ya masaa sita nataka nimtoroke niende kwa mchepuko afu niwahi kurudi anikute nimelala sebuleni kama usingizi ulinipitia vile.Hivi ningekuwa sijanywa ningewaza hivi kweli?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Nifanyeje ili niwe nakunywa sana bia bila kutapika? Manake nikishapiga kuanzia kilimanjaro 6 na kuendelea hapo chenji lazima irudi
 
Duh..mm sitapiki ht iweje..mwingine ht aone mwanga wa taa anarudisha chenji...!au uwe unakunywa maji hapo kati..
 
Nilikuwa kwenye kiparty fulani na huyu mwanamke tumerudi home ananiletea gubu za pombe,kaenda chumbani mimi nipo sebuleni,sasa hivi kalala fofofo na najua kuamka itamchukua siyo chini ya masaa sita nataka nimtoroke niende kwa mchepuko afu niwahi kurudi anikute nimelala sebuleni kama usingizi ulinipitia vile.Hivi ningekuwa sijanywa ningewaza hivi kweli?
Daaah [emoji23][emoji23]walevi tunakua na maakili mengi asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1553928348742.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom