moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,027
She is like Arabian, very fantastic beautiful, I treat her like my wife that why she love meMashalah
She is like Arabian, very fantastic beautiful, I treat her like my wife that why she love meMashalah
Vitu hivi havipatikani huko congoMashalah
Me nakunywaga kimachale sana maana ile pombe haichelewi kukuaibisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Pasaca njema bosi ,unakaribishwa sana kino
Hahahaha, havipatikani MkuuVitu hivi havipatikani huko congo
Nawe pia Mkuu
She is like Arabian, very fantastic beautiful, I treat her like my wife that why she love me
Hahahahaaa eti umerogwa daaah[emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu mm nimepumzika kabisa pombe kali.Mi hapa ndo naacha kabisa naona imeniletea shida na familia.Jana niliongea vitu vya ajabu havijawahi tokea imebidi nmwambie wife nmerogwa.ila kiu kweli mitungi imenisaliti inabidi nipumzike kama sio kuacha.
Mi nipumzike nyagi hizi najiona mdogo kama piriton aibu nilioileta acha kabisa mkuuHahahahaaa eti umerogwa daaah[emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu mm nimepumzika kabisa pombe kali.
Mi nipumzike nyagi hizi najiona mdogo kama piriton aibu nilioileta acha kabisa mkuu
Ni bora mkuu yaani inakuburuta utafikili imekushikia remote.Yani nyagi na mm ktk pombe zote inanitoaga nishai mpaka nimeamua kustop hadi muda usiojulikana ila nna mpango wa kuacha pombe kali kabisa.
Pombe kali tuwaachie kina Mrangi sisi twende na bia tu maana tunadhalilika na hizi kali.Ni bora mkuu yaani inakuburuta utafikili imekushikia remote.
Alafu ikipanda ndo shida kushuka inaleta shida.Apa niache nishinde hom na wife asahau ujinga niliofanya
Mnakata dawa mkuu?Hii chemistry ya mtaani ipo siku tutazika mtuView attachment 1077264
Kweli mkuuPombe kali tuwaachie kina Mrangi sisi twende na bia tu maana tunadhalilika na hizi kali.
Naona umetengeneza amarula ya kienyeji[emoji23]Hii chemistry ya mtaani ipo siku tutazika mtuView attachment 1077264