The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Lema mjanja yule.. Huwa inaoperate miaka kama miwili, then anaifunga na kuipimp... Ikifunguliwa inakua mpya...Hivi villa park bado pa moto? Vipi mwanza hotel bado pako poa?
Lema mjanja yule.. Huwa inaoperate miaka kama miwili, then anaifunga na kuipimp... Ikifunguliwa inakua mpya...Hivi villa park bado pa moto? Vipi mwanza hotel bado pako poa?
Kabisa mkuu. Pale kinywaji ni 24 hours.Villa park lile chimbo balaa
Hii ndani ya Congo!Shughuli niashaanza ,sijui itaisha SAA ngapi View attachment 1077306
Mie naishi porini huku Mkuu ,karibu SanaHii ndani ya Congo!
Pale napakubali Sana, totoz nje njeKabisa mkuu. Pale kinywaji ni 24 hours.
Noma sana.. Totoz pale class zote.. Pale ukienda na 'wife' unatafuta kesi tu.Pale napakubali Sana, totoz nje nje
Njagi na Vant sio vitu vizuri kabisa.Yani nyagi na mm ktk pombe zote inanitoaga nishai mpaka nimeamua kustop hadi muda usiojulikana ila nna mpango wa kuacha pombe kali kabisa.
Noma sana.. Totoz pale class zote.. Pale ukienda na 'wife' unatafuta kesi tu.
Nitafika siku moja Congo.. Natamani kushuhudia Club za wacongo na live performances za kina Fere wakiwa huko kwao zikoje.Mie naishi porini huku Mkuu ,karibu Sana
Kweli kabisa mkuuNjagi na Vant sio vitu vizuri kabisa.
[emoji28] tushaharibu kikao siku moja... Jamaa aliacha wife, akaenda toilet, kumbe kadaka toto moja ya kiarab kali sana.Ukafanye nn na wife pale ?
Ila mbona K Vant ya siku hizi ni ya kawaida hadi madem wanatumia... Ile ya zamani mkuu, ni habari nyingine.Njagi na Vant sio vitu vizuri kabisa.
Hatari Sana Mkuu ,karibu ,ila wanamuziki wengi wako Kinshasa ,Nitafika siku moja Congo.. Natamani kushuhudia Club za wacongo na live performances za kina Fere wakiwa huko kwao zikoje.
Kuna bia yao moja Primus, nailewa sana. Kuna kipindi hata mwanza tulikua tunazipata.. Si ndio beer kubwa huko?Hatari Sana Mkuu ,karibu ,ila wanamuziki wengi wako Kinshasa ,
Lubumbashi/Katanga wanakuja kufanya show tu
MTC | 101| [emoji769]
Primus bia bora ,nchi za maziwa makuu ,ipo km kawa,utaikuta Rwanda, Burundi Congo,mie napiga N'tay au Simba ,Kuna bia yao moja Primus, nailewa sana. Kuna kipindi hata mwanza tulikua tunazipata.. Si ndio beer kubwa huko?
Na divai inywekePrimus bia bora ,nchi za maziwa makuu ,ipo km kawa,utaikuta Rwanda, Burundi Congo,mie napiga N'tay au Simba ,
MTC | 101| [emoji769]
Na divai inyweke
Hivi ndio hao hao Skol au ni tofauti?Primus bia bora ,nchi za maziwa makuu ,ipo km kawa,utaikuta Rwanda, Burundi Congo,mie napiga N'tay au Simba ,
MTC | 101| [emoji769]