Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Sikumbuki Mkuu, nasimuliwa tu nilimtwanga jamaa yangu aliyekuwa anakomaa anirudishe home, hadi damu zikamtoka. Naye kaniambia alipohakikisha nimeingia ndani getini akanitwanga bonge ngumi ya taya haha! Hapa nilipo hata kutafuna shida. Sijatoka nje since alhamisi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanya vituko gani mkuu
Mm ndio mana pombe kali zimenishinda siziwezi kabisa harufu inaishia puani tu siwezi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app