Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hivi wakuu kvant zina tatizo gani? Nilikunywa j5 vituko nilivyofanya Mungu Mwenyewe ndio anajua. Leo ndio nipo normal since hiyo Siku. Ilibidi nipokonywe funguo, jamaa ndio wakanirudisha home. Hapa taya zinauma balaa, naskia nilipigana. Mimi sikumbuki lolote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah pole mdau kwa yaliyo kukumba...wakati mwingine k vant huwa zinafutaga memory
Hivi wakuu kvant zina tatizo gani? Nilikunywa j5 vituko nilivyofanya Mungu Mwenyewe ndio anajua. Leo ndio nipo normal since hiyo Siku. Ilibidi nipokonywe funguo, jamaa ndio wakanirudisha home. Hapa taya zinauma balaa, naskia nilipigana. Mimi sikumbuki lolote!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakuu kvant zina tatizo gani? Nilikunywa j5 vituko nilivyofanya Mungu Mwenyewe ndio anajua. Leo ndio nipo normal since hiyo Siku. Ilibidi nipokonywe funguo, jamaa ndio wakanirudisha home. Hapa taya zinauma balaa, naskia nilipigana. Mimi sikumbuki lolote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanya vituko gani mkuu

Mm ndio mana pombe kali zimenishinda siziwezi kabisa harufu inaishia puani tu siwezi kuendelea
 
Hivi wakuu kvant zina tatizo gani? Nilikunywa j5 vituko nilivyofanya Mungu Mwenyewe ndio anajua. Leo ndio nipo normal since hiyo Siku. Ilibidi nipokonywe funguo, jamaa ndio wakanirudisha home. Hapa taya zinauma balaa, naskia nilipigana. Mimi sikumbuki lolote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hulka yako ya kupenda ugomvi usisingizie K vant, ila kama ukilewa unaanzisha fujo pumzika kunywa pombe zitakuja kukuletea matatizo au ukapata kilema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakuu kvant zina tatizo gani? Nilikunywa j5 vituko nilivyofanya Mungu Mwenyewe ndio anajua. Leo ndio nipo normal since hiyo Siku. Ilibidi nipokonywe funguo, jamaa ndio wakanirudisha home. Hapa taya zinauma balaa, naskia nilipigana. Mimi sikumbuki lolote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Changanya na bhangi kisirisiri inatullizaga mizuka ya spirit.
 
Hivi wakuu kvant zina tatizo gani? Nilikunywa j5 vituko nilivyofanya Mungu Mwenyewe ndio anajua. Leo ndio nipo normal since hiyo Siku. Ilibidi nipokonywe funguo, jamaa ndio wakanirudisha home. Hapa taya zinauma balaa, naskia nilipigana. Mimi sikumbuki lolote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanangu mmoja, kapiga k vant kubwa yote.... Tukaingia Lounge moja akaanza na tots za Grants... Kilichofuata akaanza mnasa makofi mwanamke wake, kamvunjia sim, chania top... Kwa msaada wa baunsas akatolewa, kawasha gari kasepa...

Kesho yako hajui hata kimoja alichokifanya.. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shkran.....
Balaa
Duh alafu kna clip yke nmeona muda si mrefu hilux new model ilivyopigwa mbele ...hatari
Mwili umeletwa lugalo sahv maana walimkodia ndege ndogo

Kama kuna mtu alikuwa analipa kodi zebonga lazima atamjua tu...jamaa alikuwa mzungu sana alafu syo mchoyo wa mitkasi
Ila ndy hivyo wenye roho nzuri wanawaigi kufa mapema ile Mikatili inadunda tu![emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haka kabeer katamu jamani [emoji847]
20190414_163608.jpg
 
Shkran.....
Balaa
Duh alafu kna clip yke nmeona muda si mrefu hilux new model ilivyopigwa mbele ...hatari
Mwili umeletwa lugalo sahv maana walimkodia ndege ndogo

Kama kuna mtu alikuwa analipa kodi zebonga lazima atamjua tu...jamaa alikuwa mzungu sana alafu syo mchoyo wa mitkasi
Ila ndy hivyo wenye roho nzuri wanawaigi kufa mapema ile Mikatili inadunda tu![emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni mrangi
 
Share please hiyo clip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom