Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sababu walikuwa wanapiga heineken house The Arcade napenda twanga aisee

Siku nitakumbushia enzi zangu za ujana kwenda kuiangalia tushajizeekea jamani
Oh ok. Nimejua sbb leo..

Ila twanga siku hizi wameyumba sana.. Kuna nyimbo yao mpya inaitwa Povu... Wamezingua.. Imekua utadhani nyimbo za house..

Enzi hizo za kina choki, rogert hega, kina victor mkambi, thabit abdul.... Kweli ilikuwa twanga...

Kitu hiki hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo zao mpya kiukweli sina ninayoijua nikikwambia nimejizeekea unielewe

Enzi napenda twanga kila wakizindua album diamond sikosi walikuwa na nyimbo zina ujumbe mzuri sana jirani, password, mtaa wa saba, walimwengu.
 
Sababu walikuwa wanapiga heineken house The Arcade napenda twanga aisee

Siku nitakumbushia enzi zangu za ujana kwenda kuiangalia tushajizeekea jamani
Dah! JK kweli atakumbukwa.. Nikifikiria nyakati hizo za 2007 to 2016... Wadau wangu dar, ulikua ukifika hadi kadi ya bank unaisahau PIN yake.. Beers!!! Muziki wa band... Just good old days[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom