Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ile video ya mwana aliyepata ajali hii hapa.

Naona double cabin imebonyezwa sana mbele. Najaribu kuitengenezea picha hii ajali. Nadhani hili lori la mafuta lilijaribu kumuovertake jamaa, akajikuta ameifinya gari kwenye kingo za daraja.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, pole sana mkuu[emoji28]

Naona nyagi ww unazitumia fresh.. Mimi ile kitu huwa haiendi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa mmoja mlokole anasema amefurahishwa na muenendo wangu
Hajaniona nikikata maji siku kadhaa
Anashangaa kuniona nakunywa maji tu
Angejua.....akili na mawazo yangu...
Ngoja jumatano atafurahi

Aise umeona mzinga ule.....lkn

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajui kuwa watu wanapoza engine[emoji28]
Kuna jamaa mmoja mlokole anasema amefurahishwa na muenendo wangu
Hajaniona nikikata maji siku kadhaa
Anashangaa kuniona nakunywa maji tu
Angejua.....akili na mawazo yangu...
Ngoja jumatano atafurahi

Aise umeona mzinga ule.....lkn

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiuzwi Ukiwa under 18 mda usije ukamponza mtoto/
Kama una dozi kunywa hata soda ndogo/
Mdogomdogo sio kreti libaki empty/
Utajikuta bwana mdogo ume lost imebaki chenji/
Ukaleta tu madrama na ukaonekana pimbi/
Tulisema tule nyama tukapiga magimbi/
Ukalainisha na mtindi/
Ukitaka kuleta ugomvi utachapika kwa mlinzi/
Pombe nzuri huenda na mangoma kwenye hewa/
Warembo wakali pia nyama choma ka ngekewa/
Ka Ulikuja ukaona kawaida Sa umeanza kuona kila waiter mzuri nenda home ushalewa/
Kama hujatosheka Basi rudi na kesho/
Ikiwa huwezi tungi cheki movie tu ghetto/
Watu Wana have fun yaani mpaka kunakucha/
Wengine wameshalewa wanaita mama nakufa/

Nasema pombe sio chai
Pombe sio chai
Nasema pombe sio chai

tabaki kuwa juu ka liquid au pesa/
Vyombo burudani Wala sinywi kwa pressure/
RIP zizi na machizi waliosepa/
Namwaga pombe chini mpumzike nikivesha/
Nafurahi kuona mnafurahi mbona/
Mwenye uchu Kakuta binti kazima kwa Kona/
Tupeane nafasi/
maisha yenyewe yapo kasi/
Sista do Cheza nami ila usini search/
Niko busy na Cash/
Usiulize Niko wapi
Tuko happy na party/
na washikaji ambao Niko nao kila wakati/
Acha nilewe kwani am so happy/
Maisha Ni yangu mwenyewe kwani tuko wangapi/
 
Mimi mwenyewe nnahisi ni majirani kabisa iko siku ntakubumia tuu kitaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile siku ulivyosema upo karibia na kkkt kijitonyama nikasema huyu jirani yangu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom