Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sio mbaya sana au sababu ndio naipenda twanga [emoji6]

Huyo kijana mwenye vidred anaimba sana sauti za choki zote anaimba yeye

Kipindi wanapigia miti mirefu sience kijitonyama jirani na kwa kina mrangi nilikua naenda kuwaangalia vijana wangu
[emoji28] una upenzi tu na twanga.

Hilo la huyo dogo ni kweli. Asha anajua sana kuspot vipaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanaaa aisee dogo ana sauti sana anaimba sana

Mapenzi na twanga kiukweli ninayo nipo nayo moyoni mm mtoto wa kinondoni ilipozaliwa twanga
Of course ni band nzuri, management ya twanga ni nzuri sana. Mimi kwa kweli FM Academia, tangu enzi wa wajela jela hadi wazee wa ngwasuma... Na niliipenda hii band sbb ya Marehem Ndanda kosovo, na malou stonch...

Siku hizi niko Bogoss baada ya FM Academia kufa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course ni band nzuri, management ya twanga ni nzuri sana. Mimi kwa kweli FM Academia, tangu enzi wa wajela jela hadi wazee wa ngwasuma... Na niliipenda hii band sbb ya Marehem Ndanda kosovo, na malou stonch...

Siku hizi niko Bogoss baada ya FM Academia kufa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaah
Bogos jirani zangu kila siku wanapiga hapo mbele halafu sijawahi hata kwenda ebu ngoja siku niende kiingilio elf 5 tu

Ila nilichogundua The August unampenda sana Nyoshi
 
Hahahhaah
Bogos jirani zangu kila siku wanapiga hapo mbele halafu sijawahi hata kwenda ebu ngoja siku niende kiingilie elf 5 tu

Ila nilichogundua The August unampenda sana Nyoshi
[emoji28][emoji122] unajua ku analyse mambo...

Ofcourse Nyoshi nampenda si sababu ya uimbaji hapana. Nyoshi wala sio muimbaji mzuri ukilinganisha na kina Pablo Masai au Toskani nzimbu aliokua nao FM.

Ni kama Congo, nampenda sana Werason sbb ana sifa kama ya nyoshi.. Nyoshi ni kiongozi mzuri wa band. Anatafuta vipaji na anawapa uhuru wa kufanya kazi. Na ni mbunifu sana yule jamaa. Na ndio maana toka alipoondoka FM, nayo ikafa.

Patcho yule ni mbinafsi na sio creative, bongo movie imemuathiri fikra..

Hivi FM toka nyoshi aondoke imekufa kumbe sababu sio mpenzi wa band za kicongo

Nakumbuka kipindi kile cha patcho anapewa urais na huku nyoshi analalamika nilikuwa nawafatilia sana

Siku ukija dar tutaenda kuwaona wote majirani zangu hao hapo ndio kiwanja chao cha nyumbani bogos
 
Siku hizi sio FM academia tena. Ni CP Academia. Baada ya mzee martin kasyanju kufariki (ambaye ndiye alikuwa mwenye band-mkurugenzi) na kuwa chini ya wanae. Ikaja shida ya management. Na ikaonekana uongozi mpya ukaagawanyika juu ya Urais wa Nyoshi. Wapo waliomtaka nyoshi na wengine Patcho.. Baada ya mgogoro kua mkubwa, Nyoshi akatoka na kuanzisha band yake (YAKE CHINI YA UFADHILI WA WINDHOEK LAGER).. Lakini bado shida ikawepo, na kina patcho wakidai hawapati financial support ya kutosha kutoka kwa familia ya kasyanju. Ndipo patcho wakaondoka na wenzake wote. Ndio ikaanzishwa hiyo CP Academia. Au ngwasuma Full dose.. Hiyo CP ni kirefu cha bar moja... Mwenye hiyo bar ndio mmiliki wa sasa.

Ila siku hizi haivumi kama zamani. Shida kubwa nayoiona ni uongozi wa majivuno na umwinyi wa patcho... Bogoss wamewafunika.. Though generally muziki wa band-dansi tu, siku hizi umeshuka.. Sio kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi sio FM academia tena. Ni CP Academia. Baada ya mzee martin kasyanju kufariki (ambaye ndiye alikuwa mwenye band-mkurugenzi) na kuwa chini ya wanae. Ikaja shida ya management. Na ikaonekana uongozi mpya ukaagawanyika juu ya Urais wa Nyoshi. Wapo waliomtaka nyoshi na wengine Patcho.. Baada ya mgogoro kua mkubwa, Nyoshi akatoka na kuanzisha band yake (YAKE CHINI YA UFADHILI WA WINDHOEK LAGER).. Lakini bado shida ikawepo, na kina patcho wakidai hawapati financial support ya kutosha kutoka kwa familia ya kasyanju. Ndipo patcho wakaondoka na wenzake wote. Ndio ikaanzishwa hiyo CP Academia. Au ngwasuma Full dose.. Hiyo CP ni kirefu cha bar moja... Mwenye hiyo bar ndio mmiliki wa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbeee nilikua sijui hata kama FM imefikia hivyo jamani

Kweli ww mnazi wa ngwasuma The August asante sana jamani ningeyajulia wapi haya
 
Hivi FM toka nyoshi aondoke imekufa kumbe sababu sio mpenzi wa band za kicongo

Nakumbuka kipindi kile cha patcho anapewa urais na huku nyoshi analalamika nilikuwa nawafatilia sana

Siku ukija dar tutaenda kuwaona wote majirani zangu hao hapo ndio kiwanja chao cha nyumbani bogos
Kwa kweli kama uko jirani tu hapo tutaenda. Maana nina ham kuwaona wakipiga wakiwa uwanja wa nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom