Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Nipo msibani jirani kuna grocery nashindwa kuelewa nipo msibani ama nilikuja kulipa kodi[emoji28][emoji28]
Pole ila hapo hapo nadhani utakua unalipa kodi ipasavyoNipo msibani jirani kuna grocery nashindwa kuelewa nipo msibani ama nilikuja kulipa kodi[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba upo maeneo gani!? Au pm inahusikaNipo msibani jirani kuna grocery nashindwa kuelewa nipo msibani ama nilikuja kulipa kodi[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taiga...[emoji23][emoji23][emoji23]
Taiga tenaKodi ni muhimu kwa maendeleo ya taiga...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua mkuu, kilaji kina lugha yake pekee ...[emoji23][emoji23] ....? Karibu tuzungushe gurudumu la maisha..[emoji56][emoji56]
Si unajua mkuu, kilaji kina lugha yake pekee ...[emoji23][emoji23] ....? Karibu tuzungushe gurudumu la maisha..[emoji56][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ni ukweli utaibiwa maana sio kua labda wanakupenda no!!! Ni wanapenda pochi yakoYaani hapa, nasuguliwa chuchu kiaina, fulu usingizi wa hisia, wacha wahudumu waniibie tu, sina namna...[emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau hapa nko napiga naye storiNa hapo ni ukweli utaibiwa maana sio kua labda wanakupenda no!!! Ni wanapenda pochi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoivo yani mm sehem nakunywa nikizinguliwa sku 1 tu sirudi tena hapo asilani na nahamia kwa jirani yake ili aone navyokula vyombo roho imuume.Kuna mdau hapa nko napiga naye stori
Nmwambia hakuna mkataba na wnywaji/walevi ukiwazingua wanakuhama tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdada mmja analialiaNdoivo yani mm sehem nakunywa nikizinguliwa sku 1 tu sirudi tena hapo asilani na nahamia kwa jirani yake ili aone navyokula vyombo roho imuume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise hongera. Mimi pombe yoyote ambayo ni Vodka sigusi. Zinanipa shida sana ya tumbo. Guiness nayo nikitumia pressure inanisumbua sana
Sent using Jamii Forums mobile app