mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,436
- 138,224
Mie niliweza..... Kuacha mapombe 😋
Mkuu endelea tu kuunguza maini yako,hizo pombe ni hatari sana kupata liver cirrhosis,
Kaa chini,Tafakari,kisha jihurumie.
Aise hongera. Mimi pombe yoyote ambayo ni Vodka sigusi. Zinanipa shida sana ya tumbo. Guiness nayo nikitumia pressure inanisumbua sana
Hongera mie sifikiri kuacha kwa sasa[emoji41][emoji41]Mie niliweza..... Kuacha mapombe [emoji39]
AiseeJamani humu ndani sina cha kukomenti lakini nasema hivi, pumbavu uliyeanzsha huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app