moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #21
kwani mwembamba ndio hana mafuta?kwani figo inaharibiw na pombe peke yake?kuna watu hawajawahi kutumia pombe lakin wameumwa figoWENGINE cc ni wembamba tukinywa hizo tutakuaje sasa?