njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
uzi wangu wa kuomba 4,000 ya valeur kwenye habari mchanganyiko umefutwa na MODS, ndugu zangu embu niokoeni na hii arosto jameniiii ...uwii nakufa mamamaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ulienda wrong direction weka namba yako hapa uone maajabuuzi wangu wa kuomba 4,000 ya valeur kwenye habari mchanganyiko umefutwa na MODS, ndugu zangu embu niokoeni na hii arosto jameniiii ...uwii nakufa mamamaa
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitanii mkuu,kuna uzi nimefungua hapa ngoja nita ku tag mara ya mwisho kunywa valeur na beer 5 ilikuwa mechi ya tanzania vs uganda katika bar ya kb tegeta kibo, hapo katikati nikapata majanga mazito,3 weeks nipo sober badala inisaidie inanitia hasira yani hali niliyonayo kuanzia jana na leo ndo nimejua kwa nini mateja ya unga yanaibaga hadi chupi ili yakavute unga
Mshana Jr nije DM nini shehe wangu? arosto kama la teja wa mwananyamala mbaya zaidi nje kuna grocery nina madeni kibaooo,siwezi sogeza pua[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
0788447245[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ulienda wrong direction weka namba yako hapa uone maajabu
Jr[emoji769]
Ukiacha pombe utafanya nini
😁😁😁😁😁Mimi nilikaza siku tatu lakini alhamisi ilinishinda kabisaaa nikafidia na hizo siku nilizopoteza kizembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Nna siku ya 4 sijagusa bado nko mapumzikoni Tojo bado siku 3 nifungulie
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...Kuna watu mnaroho ngumu, mimi hivi juzi nilikuwa hospital kama siku tatu hivi sijagusa, sio kwa hiari yangu bali maelekezo ya dr alinitaka nikae mwezi mzima
Nilichokifanya Mungu anihurumie aseee
Alikuja mzee mwenzangu nikamwambia akanijazie konyagi kubwa kwenye chupa ya chai.
Mungu si athumani bwana nikafanikiwa kuipata, nilipiga vikombe viwili vya chai jioni nikaomba ruhusa, dr akaniambia aseee umeonyesha maendeleo mazuri hivyo unaweza kwenda nyumbani.
Mpaka leo dozi sijui ilikuwa inaisha lini, nisijue kama nilifungashiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...
Mm nme pumzika tungi ili niutafute usingz [emoji23] maana sijalala kipindi kirefu usiku kwangu huwa kama mchana nabnikinywa lazima nikeshe mpk asubuhi na huwa naonganisha kwenye mitkasi!
Mm bado siku 3 tu ntaanza kunywa pombe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hata nkinywa silali nataka kukeshaAseeeee mimi huwa nakunywa kulewa sihitaji sijui nini wala kipi
Muda wote natakiwa ninywe ili usingizi uje
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh kwa hiyo mkuu nimegeuka mpuuzi asee!?[emoji58]Ukiacha pombe utafanya nini
mpuuzi mpuuzi tu
Pumzika tu mkuu mm sjagusa tokea jpili labda kwanzia kesho ndo ntagusaMm Nna siku ya 4 sijagusa bado nko mapumzikoni Tojo bado siku 3 nifungulie
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm bado siku 4 tu nliamshe dudePumzika tu mkuu mm sjagusa tokea jpili labda kwanzia kesho ndo ntagusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni hatari kwa afya yako usirudie aseeKuna watu mnaroho ngumu, mimi hivi juzi nilikuwa hospital kama siku tatu hivi sijagusa, sio kwa hiari yangu bali maelekezo ya dr alinitaka nikae mwezi mzima
Nilichokifanya Mungu anihurumie aseee
Alikuja mzee mwenzangu nikamwambia akanijazie konyagi kubwa kwenye chupa ya chai.
Mungu si athumani bwana nikafanikiwa kuipata, nilipiga vikombe viwili vya chai jioni nikaomba ruhusa, dr akaniambia aseee umeonyesha maendeleo mazuri hivyo unaweza kwenda nyumbani.
Mpaka leo dozi sijui ilikuwa inaisha lini, nisijue kama nilifungashiwa
Sent using Jamii Forums mobile app