Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

20190404_180544.jpg

Huba😊!
 
Pombe gani inafaa kuanzia kwa mnywaji mgeni kwenye pombe kama mimi? Na yamwisho kabsa ambayo ukinywa hio hakuna zaidi yake??

Sent using Jamii Forums mobile app


Umevutiwa na hawa jamaa katika mambo haya? Pombe sio chai wahenga walisema

Wanywaji ni watu wanaokunywa vitu visivyokuwa pombe, wanaokunywa kitu chenye alocohol 0.01% na kuendelea ni walevi
 
Yaani hapa wamesha ni vuruga akili, eti huruhusiwi kuvuta sigara hapa, wakati kaunta wanauza, ishiiiiii...., hivi wanajitambua kweli hawa ? Nimesha waachia 25k. hivi wanafahamu ni kiasi gani cha kodi nimesha changia ? Bull shit , nahama kijiwe...[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855], [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom