mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,231
Wanywaji tunaitwa watu wa hovyoNasikia mdau mwenzetu/mlipa kodi maarufu , Mkuu Pierre 'konki' liquid ,kaitwa wa Hovyo Hovyo ,hivi watu wanajua kuwa Salary zao tunazichangia kwa kiasi gani?
MTC | 101| [emoji769]
Ile ni dharau muda si mrefu ntakuwa bonga bar na fr msemaji wa mahali fulani ntamchokonowa maana naye mnywaji mwenzetu....ngj ntapata maneno 2,3 toka kwake pia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app