Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Everibade sei yeeeeeeeee
IMG_5444.JPG
 
Walevi mwaka huu tumeula ile kinywaji chetu pendwa gongo si ndo Mh Rais amesema tuanze kupika kwa kasi!!!sasa rasmi nafungua kiwanda changu cha gongo support yenu jamani nahitaji[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hureee...! After all huko mbinguni hatupeleki figo au maini mazima [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Walevi mwaka huu tumeula ile kinywaji chetu pendwa gongo si ndo Mh Rais amesema tuanze kupika kwa kasi!!!sasa rasmi nafungua kiwanda changu cha gongo support yenu jamani nahitaji[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh leo sigusi pombe kabisa
Sahv narudi home sija ingia ndani tangia jna
Asubuhi nlionganisha juu kwa juu kwenda kwenye mitkasi...nlipiga mswaki mtaani nkajipiga na passport size kunawa mwili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha leo ntulieeeee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom