Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
Kama kawaida
Kama kawaida
Uko home!!! Ungekua bar 'ningekuhonga' bucket nyie wa dar mnaita... Kwa hisani ya manengeloKama kawaidaView attachment 1063291
Niko home mie mkuu hahha eti wa dar tunaita bucketUko home!!! Ungekua bar 'ningekuhonga' bucket nyie wa dar mnaita... Kwa hisani ya manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] Kabisa, sijawahi ziona bucket hizo maswa au bariadiNiko home mie mkuu hahha eti wa dar tunaita bucket
Hahaha kwahiyo hakuna kabisa
Ndiwoooo wengine walokole sisi hatuendagi kwenye mabar [emoji6]
Jiunge wewe beer tamu sanaNikionaga lile povu kwenye bia huwa natamàni nijiunge kwenye uanachama sana wakuu ushauri wenu tafadhali
13SEPTEMBER
Mkuu mbona kama vile hii imefichwa chini ya uvungu aise au hutak vijana waone??Kama kawaidaView attachment 1063291
Hapana nimeizoom tu na hiyo jeMkuu mbona kama vile hii imefichwa chini ya uvungu aise au hutak vijana waone??
13SEPTEMBER
Dar na mikoani ni nchi mbili tofauti...Hahaha kwahiyo hakuna kabisa
Uko home!!! Ungekua bar 'ningekuhonga' bucket nyie wa dar mnaita... Kwa hisani ya manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli eenh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha mm pia siku akitoka home nna bucket yake Shunie , ye ananywea ndan tuu
Nikionaga lile povu kwenye bia huwa natamàni nijiunge kwenye uanachama sana wakuu ushauri wenu tafadhali
13SEPTEMBER