Labda ni mtumishi wa shetani au wale wa kunjunga
Bwana Yesu aligeuza maji kuwa mvinyo ulio bora wa kujaa mabalasi sita... Kila balasi moja ni sawa na Lita 300
Vilevile neno linasema mpe masikini POMBE, anywe! Alewe! Asahau shida zake! (Kumbuka ni MASKINI sio KICHAA)
Zaidi mabinti wa Lutu walipoona wanazeeka na baba jua linamchwea wakatengeneza mvinyo MKALI wakampa mzee baba POMBE akanywa akalewa zikashuka bondeni, nao wakanywa halafu hasi na chanya zikakutana... [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtumishi
Asprin hayajui haya[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]