Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,870
Eeeh.. ila wana parking kwa nyuma huku kubwa tuuDah kumbe ndio hilo chobingoo..
Tatizo mkijaa hapo ,magarii mnapark barabarani...tabu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh.. ila wana parking kwa nyuma huku kubwa tuuDah kumbe ndio hilo chobingoo..
Tatizo mkijaa hapo ,magarii mnapark barabarani...tabu tupu
Nimejua neno BOT tu, dar siijui kabisa.. Nikijaga huko huwa ni hotelini to sehem husikaView yake nzuri hasa counter yao.
Panaitwa Buscar La Vida karibu na maghorofa ya BOT
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejua neno BOT tu, dar siijui kabisa.. Nikijaga huko huwa ni hotelini to sehem husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejua neno BOT tu, dar siijui kabisa.. Nikijaga huko huwa ni hotelini to sehem husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua yupo kwenye 'to-do list'.... Lazima wanywe Savannah zetu watu wa NyarugusuDar INA wenyewe ,ndio hao sasa,next ukienda watafute
MTC | 101| [emoji769]
Mzigua yupo kwenye 'to-do list'.... Lazima wanywe Savannah zetu watu wa Nyarugusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Manure ashafanywa mbaya.. Hawa Wolves nux sana..
Acha nifeli kabsa, tena ikiwezekana nipate zero zote, lakini hili tayari nimeanza kulifanyia kazi.utafeli mzeeiya
Lol.. flat za BOT mbezi...Nimejua neno BOT tu, dar siijui kabisa.. Nikijaga huko huwa ni hotelini to sehem husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza unaa sasa.. muoneDar INA wenyewe ,ndio hao sasa,next ukienda watafute
MTC | 101| [emoji769]
SITAKUANGUSHA.. In Jiwez VoiceMzigua yupo kwenye 'to-do list'.... Lazima wanywe Savannah zetu watu wa Nyarugusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nifeli kabsa, tena ikiwezekana nipate zero zote, lakini hili tayari nimeanza kulifanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani atakusikia 'mama ushauri'.Unaonekana unafurahisha tu genge mkuu...usianze na gia kubwa anza na gia nyepesi...anza na robertson au st anne..then siku nyingine unajichetua na redds...au tusker...then utakaa meza moja na The August,Fursakibao !...
Manure ashafanywa mbaya.. Hawa Wolves nux sana..