mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,444
- 138,242
Ha ha ha ha ha haKonyagi inaniambia Tottenham watasawazisha kabla ya dakika ya 60 na Liverpool watapata goli la ushindi dakika ya 80.
GIN mkuu
Maskani
Niliokoka mwenyekiti japo bado tuko pamojaHatukuoni lakini
Jr[emoji769]
Acha tu
Dakika ya 80 imepita mkuu ...Konyagi inaniambia Tottenham watasawazisha kabla ya dakika ya 60 na Liverpool watapata goli la ushindi dakika ya 80.
Haiwezekani mkuu dakika 88 liverpool wanapata cha pili mkeka unyooke lazima liverpool ashinde.Dakika ya 80 imepita mkuu ...
Umechanganya konyagi na maji lazima wewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani mkuu dakika 88 liverpool wanapata cha pili mkeka unyooke lazima liverpool ashinde.
Ngoja lindo livamiwe ndo utajua. Mimi nahisi sitaki tena wine sababu napungua.
Duh hhhNgoja lindo livamiwe ndo utajua. Mimi nahisi sitaki tena wine sababu napungua.
We Mrangi hata hiyo andika yako ni kama kimekukamata. Mwenzio nimeshatoka lindoni kumekucha.
K wani saa ngp I sahvi duhWe Mrangi hata hiyo andika yako ni kama kimekukamata. Mwenzio nimeshatoka lindoni kumekucha.
Nitakujibu ukiwa sober kama Zuma the sober and the drunkerd kama ulisoma Mine boy. .
OkkkkkkkNitakujibu ukiwa sober kama Zuma the sober and the drunkerd kama ulisoma Mine boy. .