Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nilikua Likizo, Nimerudi kwa Nguvu Ya Tano
20190331_085659.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzigua ikitokea ukahitaji mtu wa kupaka rangi kucha nishtue baby,ntatoa huduma bure.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe sio wa kusema kucha zangu bby...
Nilivaa raba zikanibana kucha zikavia damu... Sema hiyo hela ya kupaka rangi we nipe tu nikapake leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe sio wa kusema kucha zangu bby...
Nilivaa raba zikanibana kucha zikavia damu... Sema hiyo hela ya kupaka rangi we nipe tu nikapake leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakucheka bana pole,afu acha kuzingua na hilo guu mixer tege huwezi kosa pesa ya kupaka rangi kucha we mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom