Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,123
- 100,626
Hahahaha, we mutu mukubwa bana
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, we mutu mukubwa bana
Hali yangu hapa naweza vua nguo at any time tView attachment 1058555View attachment 1058556View attachment 1058557
Sent using Jamii Forums mobile app
Check sasa unavyonitoa kwenye reliHahahaha, we mutu mukubwa bana
MTC | 101| [emoji769]
Hapa hali yangu ni mbaya sana.. nitakunywa wota tu Leo ninavyojiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
Afu we Mzee kabila acha upambe huku unanicheka acha zako kabila.Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha mm hyo state niliwah fika km 3yrs ago..was valentine..since there nikipiga sana mwishk 5...narudi hom..jj8achie bwana wee kwan sh ngap..ila hakikisha upo na kampan nzuri...Hapa hali yangu ni mbaya sana.. nitakunywa wota tu Leo ninavyojiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Mzee upambe gani tena ?mie nafurahi humuAfu we Mzee kabila acha upambe huku unanicheka acha zako kabila.
Hahaha mm hyo state niliwah fika km 3yrs ago..was valentine..since there nikipiga sana mwishk 5...narudi hom..jj8achie bwana wee kwan sh ngap..ila hakikisha upo na kampan nzuri...
Niwe bosslady nitambeHahahaha, we boss lady bana ,40k hy si ipo tu ,kwa meza ,chenji chenji zilizobaki jana
MTC | 101| [emoji769]
Eti mimi naweza wapi yarab?Lol Baby usijali ni vile vyuma vimekasa vikilegea nikiwa fresh mbona hiyo nakupa mara kumi bila kuwaza kabisa.Ndo nimekosa mwenzio. Nikapake kucha rangi 40k kweli mimi naweza wapi yarab.?
Halafu sina tege miguu yangu tu mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea bby upate unipe nikapake kucha rangiEti mimi naweza wapi yarab?Lol Baby usijali ni vile vyuma vimekasa vikilegea nikiwa fresh mbona hiyo nakupa mara kumi bila kuwaza kabisa.
Hahahaha, kwa bata zako humu ,we unaonekana ni boss lady
Hahahaha, safi Sana ,mbn bongo watu wana kula sana bata ,halafu humu munasema vyuma vimekaza?Eti mimi naweza wapi yarab?Lol Baby usijali ni vile vyuma vimekasa vikilegea nikiwa fresh mbona hiyo nakupa mara kumi bila kuwaza kabisa.
Nina kampani nzuri sana ya kulewa nayo. Kinachonitesa hapa ni hangover sasa.
Maisha mafupi bwana kam najilewea zangu sigombani situkanani wala sipigani.
Evri badi sei yeeeeeeeeah
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiiii.. bata mie napewa [emoji1787][emoji1787]Hahahaha, kwa bata zako humu ,we unaonekana ni boss lady
MTC | 101| [emoji769]
Amen Baby,nikipata mimi na wewe ni Family lazima one day tule goodtime Mzigua.
HahahahaAmen Baby,nikipata mimi na wewe ni Family lazima one day tule goodtime Mzigua.