Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Hahahaha
Nina kampani nzuri sana ya kulewa nayo. Kinachonitesa hapa ni hangover sasa.
Maisha mafupi bwana kam najilewea zangu sigombani situkanani wala sipigani.
Evri badi sei yeeeeeeeeah
Sent using Jamii Forums mobile app
KwemaKatibu kwema
MTC | 101| [emoji769]
Dah ,sorry nimerudi Lubumbashi fasta ,ndio nimeingia ,ila I hope mechi ya Simba na Tp Mazembe nakuja kuiona ,nitajaribu kukutafuta
Hahahaha, safi Sana ,mbn bongo watu wana kula sana bata ,halafu humu munasema vyuma vimekaza?
MTC | 101| [emoji769]
Mkuu kwenye bata wadau hatuachani nyuma, ila asubuhi kila mtu anaamka na hali yake [emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndio hasira zinapokuja
Miaka iliyopita ulikuwa ukiamka tuu kama huna mchongo, simu mbili tatu maisha yanaenda unaweza usiwe na kazi ila wimbi la mzunguko wa hela likakupitia jioni upo bar.
Binafsi hata kama sina hela sijawahi kutaka kula bata nikashindwa
Kuna ishu fulani ya kazi nataka tuongeDah ,sorry nimerudi Lubumbashi fasta ,ndio nimeingia ,ila I hope mechi ya Simba na Tp Mazembe nakuja kuiona ,nitajaribu kukutafuta
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah life is sweet, isoooookeeee [emoji928][emoji928]