Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Duh mm ilikuwa mpk alfajiri
Nimegumia sehemu kvant na masela
Tunaskilizia mvua
Ova
View attachment 1058037
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndy hii!nko tmk na mafundi gerejiMzee baba weekend c ndo hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hyo mixer balaa lazima uwe high aisee..hii haipendezi uishie kulala tu[emoji41]
✌✌✌✌😋😋😋😋Hatari na hiki kimvua soon nnaongia kazini [emoji41][emoji41][emoji41]
Ok nkawahi kutoka huku ntakuchekMm nipo kimara mwisho ila mida mida nitakuwa maeneo ya kino/mikochen
Shughuran....
Hahaha hapa ndio natakiwa kuwepo #mamaaa nakufa,konyagi itabaki mawinguni