Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kitu ilichonifanya jana sintarudia kunywa kvant

Sent using Jamii Forums mobile app
Hzi mm nazikandamiza mixer nyagi
Haapa nko na wanangu mafundi gereji
Leo sjui wamemdhulumu nani pesa wananipa vyombo ila nashangaa wao wanalewaaa mgeni nipo tu
Nimebaki na maspana na fundi mmja anaitwa bolti tmk hyooo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau na wanabodi... Mwenyekiti yuko likizo ya muda.... Jana usiku alikuwa hajisikii vema sana hivyo alfajiri akaamua kwenda kwa tabibu...
Tabibu akamwambia kuwa vipimo vinaonesha ana YUTI YAI (lakini sio dume) hivyo kapewa mizizi iliyosagwa na mzungu ili kuua vimelea vyote vya YUTI YAI ambayo ndio kwanza iko shule ya msingi ( primary stage.. Eti wanasema hivyo kwa kizunguzungu)
Hivyo ana katazo la siku saba nzima usiku na mchana bila kugusa kirevi chochote chenye arikohori[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24]..... Tumuombee nafuu ya haraka mapema

Nakala kwa
Katibu
Mweka hazina
Wajumbe wote
Kamati ya fitina
Kamati ya roho mbaya
Kamati ya wanafiki wote

Jr[emoji769]
 
Pole kwa yutiai mkuu. Hope utakaa sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2019-03-30-17-42-02.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom