Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,870
naona unaendeleza uanachama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] laiti ungejua best
hahahahaHii unatuongezea ugumu tuu wa kulewa
[emoji23][emoji23] nimepita mwendokasi leo hamna rangi nimeacha ona
Mayo umemuweka Mbunge wetu wa 2020 Mbeya mjini Kunywa bia ntalipa leo nimekupenda sanaNaibu Tulia.jaman...mama mwenye roho ya kipekee
Mayo umemuweka Mbunge wetu wa 2020 Mbeya mjini Kunywa bia ntalipa leo nimekupenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa hivi utakuwa unaongea kiitaliano;karibu tuendeleze tukisindikizia na mapande
Mayo mayo kwahyo ulkua unamchora tu?? Mbunge wetu kumbe ni kichaa hvyo[emoji23][emoji23][emoji23]umeniudhi ghafla[emoji23][emoji23] namtoa...na ambavyo simpendi
Mayo mayo kwahyo ulkua unamchora tu?? Mbunge wetu kumbe ni kichaa hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fanya ukalale si kwa paja hilo
Ohoo nlikua sjamjuaNaibu Tulia.jaman...mama mwenye roho ya kipekee
Inasaidia sana,kunywa bia 4 kunywa chupa kubwa ya maji,hivo hivo endelea,hakuna uchovu wala nini hata umalize kreti 2 peke yako ukienda na hiyo formula unakuwa uko njema
Ila mzee kvant/nyagi me naelekea kuacha yani saa 10 za usiku nimeshtuka usingizini koo limekauka naskia kiu ya ajabu:naona siku za usoni natemana nayoKimekatika Hicho nliletewa zawadi
Nmerudi kwenye nyagi muda tu
Ova
View attachment 1057621
Sent using Jamii Forums mobile app