The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,468
- 20,877
hahaha
Mane embu rudisha ile sura yako nzuri umetuekea nn hapo?
hahaha
Mane embu rudisha ile sura yako nzuri umetuekea nn hapo?
Ule ushauri ulionipa nimeufanyia kazi. itabidi ujipongeze.😅😅😅😅..yaan ww sikuwez best...ila ujifix mwenyew..
Ule ushauri ulionipa nimeufanyia kazi. itabidi ujipongeze.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee siwezi kuacha labda nibadilishe niwe nakunywa divai tuu ilichachwa
Sjui ametuekea jamaa gani ana sura ngumu balaa[emoji23]Mane embu rudisha ile sura yako nzuri umetuekea nn hapo?
Mpaka hapo iko off. maana ndio wikiendi imeanzaHahaja hongera sana...ila ulisema wknd simu itakuwa off..nakukumbusha tu mkuu😅
Inasaidia sana,kunywa bia 4 kunywa chupa kubwa ya maji,hivo hivo endelea,hakuna uchovu wala nini hata umalize kreti 2 peke yako ukienda na hiyo formula unakuwa uko njema
Nipo kwa mangi kimya kimya mzee spidi nmepunguza .......mambo ya kufanya mambo kwa hisia ni danger [emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha ha piga maji kwanza,halafu uanze mojaNipo kwa mangi kimya kimya mzee spidi nmepunguza .......mambo ya kufanya mambo kwa hisia ni danger [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimekatika Hicho nliletewa zawadi
Aminia, naona hadi phone cam inaona mawenge [emoji23][emoji23][emoji23]Kimekatika Hicho nliletewa zawadi
Nmerudi kwenye nyagi muda tu
Ova
View attachment 1057621
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah balaaaAminia, naona hadi phone cam inaona mawenge [emoji23][emoji23][emoji23]