Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,988
- 100,189
Hahahaha, Rafiki ulifichwa?
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, Rafiki ulifichwa?
Acha kabisa ukaguzi unanitoa kwenye uwepo rafiki hahahaHahahaha, Rafiki ulifichwa?
MTC | 101| [emoji769]
Leo nimeona nichekeche kichwa sio kwa uchovu huu [emoji23][emoji23]Kitu cha mzaramo
MTC | 101| [emoji769]
Nazimiss konyagi huku hakunaLeo nimeona nichekeche kichwa sio kwa uchovu huu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutumia kwa DHL [emoji28][emoji28]Nazimiss konyagi huku hakuna
MTC | 101| [emoji769]
iyeh mi nikisikiji
Mkuu kichwa kiko vizuri. Siku moja tukae tulipe kodi pamoja.Huwa nachanganya na konyagi
Jr[emoji769]
Tatizo madem wanaangalia mavaz na sio mlungula,icho ndo kinachowacost!Bar kuna vituko sana... Mapenzi v Hela.
Niko na mabinti jirani, mmoja kampigia sim jamaa yake kaja na shati zake mchomeko bill ya ten imekua shida.... Jamaa kasepa
Mwanamke kampigia sim jamaa mwingine aje... Wanasimuliana huyu jamaa ni muuza mbuzi sijui kama ana hela... Mwamba kafika kawabadilishia kutoka Serengeti lite to savanah kawachafulia meza, kaacha na 50 lunch[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kupiga nyagi za kutosha mahali fulani sahv nasukutua na hii kitu[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]