Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,005
- 100,210
Dah usiku ulikua hivyo ,nikiwa na Valentine wangu N'TAY bia
MTC | 101| [emoji769]
MTC | 101| [emoji769]
Valentine imekucha sasa, nasubiri vituko vya badae.
Inabdi ukatoe lock tu mzee babaNimeamka na KIU balaa
MTC | 101| [emoji769]
Inabdi ukatoe lock tu mzee baba
Mm mwenyewe nmerudi 12 asubuhi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa vichupa viwili/vitatu vya IMAGI kichwa iwe mswano.View attachment 1022010Napenda sana wine kwa kweli...bia inanishinda kabisa ingawa nikizidiwa hua nakunywa.
Nakunywa glass 1 au 2 za wine basi.
Napenda red wine kama dompo, drostdy, flamingo na ile ya kupima
Asante mkuu, ntajaribu ingawa ntapiga glass 2 nikienda sana 3.Kunywa vichupa viwili/vitatu vya IMAGI kichwa iwe mswano.
Hamna noma mkuu,hio wine ya Imagi yenyewe ni chupa ndogo tu inayotosha glass 1 tu inakua imeisha na it's cheap ila ina stimu za kiaina.Asante mkuu, ntajaribu ingawa ntapiga glass 2 nikienda sana 3.
Asante mkuu, ntajaribu ingawa ntapiga glass 2 nikienda sana 3.
Hamna noma mkuu,hio wine ya Imagi yenyewe ni chupa ndogo tu inayotosha glass 1 tu inakua imeisha na it's cheap ila ina stimu za kiaina.
Huwa nachanganya na konyagiIMAGI ujazo wake ni glass 1 ya wine, ila ukipiga hizo tatu utafurah
Ukimix na nyagi,jiandae kukesha usiku kucha 'ukishughulika'.,hahah.Huwa nachanganya na konyagi
Jr[emoji769]
Ntajaribu mkuuIMAGI ujazo wake ni glass 1 ya wine, ila ukipiga hizo tatu utafurah
Huwa nachanganya na konyagi
Jr[emoji769]
Ila uwe na mambo 'yetu' yale pembeni.Umetisha mkuu, nitajaribu one day, ku mix pamoja nione shughuli yake
Anza na Image moja na kabinti... Aisee that mix is power tiller [emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]
Jr[emoji769]
Hahah aisee kweli hapo ni power tilla tosha,nilishajaribu na k-vant ila haikubamba sana.Mimi napiga 3 na konyagi kubwa moja
Jr[emoji769]