Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Watoto bana...! Mnafurahisha sana...!!!

Jr[emoji769]
Tushajiposition kwa mangi tunataka kutoa lock faster

Ova
20190313_095903.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bar kuna vituko sana... Mapenzi v Hela.

Niko na mabinti jirani, mmoja kampigia sim jamaa yake kaja na shati zake mchomeko bill ya ten imekua shida.... Jamaa kasepa

Mwanamke kampigia sim jamaa mwingine aje... Wanasimuliana huyu jamaa ni muuza mbuzi sijui kama ana hela... Mwamba kafika kawabadilishia kutoka Serengeti lite to savanah kawachafulia meza, kaacha na 50 lunch[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom