Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Nikiwa eneo la tukio
God save us
God save us
View attachment 1044119
Ngoja nimalizie hiz chupa 4 then nikapumzike...
Though kuna possibility ya kuendelea kuchangia kodi....
Maana Chui mweupe ni mtamu sana...
Dah nimemiss hiyo kitu balaa
MTC | 101| [emoji769]
Ha ha ha ha ha
Hatoki mtu hapa Leo mpk kuche me nagonga hizi soda kisha nakazia na k vantView attachment 1044095
Sent using Jamii Forums mobile app
GADEM SHWAIN😀😀😀😀Huyu ana utani na bia bia zmetupa deals saana YEYE AENdelea kutojichanganya tu na kushinda ndani Anakunywa mirinda nyeusi...GADEM SHWAIN
Wewe umeokoka?. Basi ondoka ukatengwe nasi, wahi jukwaa la dini huku umefuata nini?.Alcohol iz ze sosi of evil! Okoken na mtubu vijana! Hizi mboyoyo hazina dili.ova
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂ole!nasema ole😂😂Jana nimekunywa fragile mida ya saa 5 usiku. Mida hii nimeamka nazitazama ndovu hapa, vipi hazina madhara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hyo kilaza atakukata stim tuWewe umeokoka?. Basi ondoka ukatengwe nasi, wahi jukwaa la dini huku umefuata nini?.
Watoto bana...! Mnafurahisha sana...!!!Alcohol iz ze sosi of evil! Okoken na mtubu vijana! Hizi mboyoyo hazina dili.ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndy hao wanabishana mambo ya mpira mpk wanapigana visu...wanatudhalilisha wanywajiWatoto bana...! Mnafurahisha sana...!!!
Jr[emoji769]
Ushaokoka tayari??Alcohol iz ze sosi of evil! Okoken na mtubu vijana! Hizi mboyoyo hazina dili.ova
Sent using Jamii Forums mobile app