Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Bia tunalimbikiza na uzeen tunakutana wote, iko hivi mkuu mm bia ndo inanipa hasira ya kufanya kazi, nisije kuchalala

Bia imenipa kazi bosi wangu tulikutana baa, bia inanipa marafiki wa ukweli

Ni juzi tu nimepata sherehe nyumban kwa mzee gari nililotumia kusafili nalo mpaka kijijin mwenye nalo tulikutana baa

Sasa wewe unaisema vibaya bia
Huyu ana utani na bia bia zmetupa deals saana YEYE AENdelea kutojichanganya tu na kushinda ndani Anakunywa mirinda nyeusi...GADEM SHWAIN
 
Pasaka ya mapema hii
FB_IMG_1552399037589.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bia tunalimbikiza na uzeen tunakutana wote, iko hivi mkuu mm bia ndo inanipa hasira ya kufanya kazi, nisije kuchalala

Bia imenipa kazi bosi wangu tulikutana baa, bia inanipa marafiki wa ukweli

Ni juzi tu nimepata sherehe nyumban kwa mzee gari nililotumia kusafili nalo mpaka kijijin mwenye nalo tulikutana baa

Sasa wewe unaisema vibaya bia

Ha ha ha aisee masta [emoji1487]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom