Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo nimeamka salama lakin hizi naenda kuzitupa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sawa
20190302_095739.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaokunywa hii bia sura zao huwa ‘ngumu’ sana[emoji848]
 
Huu ni muda wa kulimbikiza Mali, wewe limbikiza bia tutakutana uzeeni
Bia tunalimbikiza na uzeen tunakutana wote, iko hivi mkuu mm bia ndo inanipa hasira ya kufanya kazi, nisije kuchalala

Bia imenipa kazi bosi wangu tulikutana baa, bia inanipa marafiki wa ukweli

Ni juzi tu nimepata sherehe nyumban kwa mzee gari nililotumia kusafili nalo mpaka kijijin mwenye nalo tulikutana baa

Sasa wewe unaisema vibaya bia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom