theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Asante
what went wrong mchangia kodi mwenzangu...
Asante
Wakati nilitaka unipigie ramli?. Wacha burudani rudi kilingeni.😉😉.Pouwa leo nimefunga kilinge nakula vitu vitamu
Jr[emoji769]
Sitaki hata kukumbuka jana nilikuwa kama chizi,boda ilitumwaga nimeumia na kuungua juuwhat went wrong mchangia kodi mwenzangu...
Hebu muulize maana tunamuhitaji.what went wrong mchangia kodi mwenzangu...
Fanya ukuje kufata dawa,na usirudie kuparamia vya bure we ukitaka kuwaweza watoa ofa agiza kitu cha Moet au mojito
Fanya ukuje kufata dawa,na usirudie kuparamia vya bure we ukitaka kuwaweza watoa ofa agiza kitu cha Moet au mojito
Yani mimi nina stress za kufa mtu afu mibalaa kama hii bado inanifataHebu muulize maana tunamuhitaji.
Mi kuna moja hivi lilijifanya kujipendekeza nilimpeleka sehemu hela ilimtoka hakuwa kurudia tena kunisumbua sumbua
Mi kuna moja hivi lilijifanya kujipendekeza nilimpeleka sehemu hela ilimtoka hakuwa kurudia tena kunisumbua sumbua
Ndo ungeagiza ata belaire lakin ndo ushajifunza utarudia tena ,umejua kunichekesha leoHawa niliokuwa nao jana hela kwao kama maji ukitaka hata vinywaji vya laki 5 wewe tu na tumbo lakooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ungeagiza ata belaire lakin ndo ushajifunza utarudia tena ,umejua kunichekesha leo
Hawa niliokuwa nao jana hela kwao kama maji ukitaka hata vinywaji vya laki 5 wewe tu na tumbo lakooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umegoma hakika. Huendi mbinguni.
Ngoja niongeze kil na mbege nikalale. Naona unaniringishia sasa mwenyekiti. Sio kwa kadude hako.Mtani haka kadude ni katamu kuliko naniliu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]