Sitaki hata kukumbuka jana nilikuwa kama chizi,boda ilitumwaga nimeumia na kuungua juu
Mim kama mi watu mingi afu wajifanya wana hela wanataka bata huwa nabeba mashoga zangu walevi wana kunywa weee mi nawachora tuu, usirudie kulewa ukiwa na strangers
Hahahaha, asee kumbe ndivyoMim kama mi watu mingi afu wajifanya wana hela wanataka bata huwa nabeba mashoga zangu walevi wana kunywa weee mi nawachora tuu, usirudie kulewa ukiwa na strangers
Ungekula tango, moja tu hangover inakata!!Naomba msaada wako ninywe nn niponee natia huruma hapa nilipo mgonjwa haswaa sjatia kitu toka asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Mungu atarekebisha ukijituma.Yani mimi nina stress za kufa mtu afu mibalaa kama hii bado inanifata
Ndo wakuache chooni jamani au mlijikuta wote mmeamkia chooniSiyo strangers ni kampani yangu huu mwaka wa nne sijui tu jana nilipitiwa vip kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,ndo nimeanza hope Mungu ataonyesha njiaPole Mungu atarekebisha ukijituma.
Sasa sipendi mi bia na kukaa tuu kuongea napenda inabidi walevi niwatafutie walevi wenzao ili nisiwaboeHahahaha, asee kumbe ndivyo
MTC | 101| [emoji769]
Pambana na usisikilize wanaokukatisha tamaa. Mi bado nalipa kodi.Asante,ndo nimeanza hope Mungu ataonyesha njia
Ndo wakuache chooni jamani au mlijikuta wote mmeamkia chooni
Asante,we endelea kulipa kodiPambana na usisikilize wanaokukatisha tamaa. Mi bado nalipa kodi.
😂😂😂😂😂 hapo sawaHapana wamenipeleka room nikalala sasa nimebanwa mkojo nikaenda kukojoa huko huko nikazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi sana shetani mwekundu kuchapwa fimbo mbili na yesu wa London.Pay as you earn, Magunila pub kwa Chambo Moro. Tunalipa kodi kigumu huku tukicheki Arsenal akifanya maajabu!! View attachment 1042581
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wamenipeleka room nikalala sasa nimebanwa mkojo nikaenda kukojoa huko huko nikazima
Sent using Jamii Forums mobile app