QUOTE="Demiss, post: 30693370, member: 431952"]TANGAZO LA MUDA
Naaacha pombe kwa muda wa mwaka mzima.
Story iko hivi:
Jana nimetoka zangu Dom mpaka Moro kwenda kula Bata na Mapapa ya moro.
Hao mpaka terminal pub bhn kulikuwa na waluguru band
Unajua band ikikolea ndo unakunywa zaid hatari firee hamadi nimekunywa savvana si chini ya 23 bhn weee nikalewa chakar.
Aisee mwenzenu nimelala chooni khaa pombe mm naaacha kwanza.
Nimeamka asubuhi najikuta nimelala toilet bila nguooo mimi kabisa naacha pombe
Hapa nipo kwenye basi narud dom sijala chochote hata ninywe maji narudisha chenchi naomben msaada nile nn sasa nikifika maana tumbo linauma na sina nguvu walevi nyiee mama nakufaaa hatari fireeeeeee.
JAMANI MSAADA
mrangi nisaidie mdogo wakoo .
Sent using
Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Inatokeaga na sisi tuna sema ivo ila tuna rudi tu, pata muda pumzike kunywa maji baridi kidogo kidogo mara myingi na tikiti baridi. Kesho uta amka poa