Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu unaharibu afya. Usingizi sio kitu cha kuchezea.
Duh usingizi sipatagi kbisa
Ndomana mimi ukiniubikia hata saa tisa usiku fresh tu tunazungumza kama ni mchana vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaani kwenyewe wanajua silali
Any way itabidi niende kutafuta msaada kwa wataalam maana Hali si Hali
Mwanadamu gani hulali[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifungua kinywa...
IMG_20190310_121134.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh usingizi sipatagi kbisa
Ndomana mimi ukiniubikia hata saa tisa usiku fresh tu tunazungumza kama ni mchana vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaani kwenyewe wanajua silali
Any way itabidi niende kutafuta msaada kwa wataalam maana Hali si Hali
Mwanadamu gani hulali[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli mkuu. Fanya kutafuta ufumbuzi.
 
TANGAZO LA MUDA

Naaacha pombe kwa muda wa mwaka mzima.

Story iko hivi:

Jana nimetoka zangu Dom mpaka Moro kwenda kula Bata na Mapapa ya moro.

Hao mpaka terminal pub bhn kulikuwa na waluguru band
Unajua band ikikolea ndo unakunywa zaid hatari firee hamadi nimekunywa savvana si chini ya 23 bhn weee nikalewa chakar.

Aisee mwenzenu nimelala chooni khaa pombe mm naaacha kwanza.

Nimeamka asubuhi najikuta nimelala toilet bila nguooo mimi kabisa naacha pombe

Hapa nipo kwenye basi narud dom sijala chochote hata ninywe maji narudisha chenchi naomben msaada nile nn sasa nikifika maana tumbo linauma na sina nguvu walevi nyiee mama nakufaaa hatari fireeeeeee.

JAMANI MSAADA mrangi nisaidie mdogo wakoo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Mida hii Naugulia maumivu tuu ,leo si nimepata ajali kwa mara kwanza jamani nimelia kama mtoto,ningevunjika sijui ingekuwaje
Mhhh imekuwaje best? Pole sana unaendeleaje sasa?

Jr[emoji769]
 
TANGAZO LA MUDA

Naaacha pombe kwa muda wa mwaka mzima.

Story iko hivi:

Jana nimetoka zangu Dom mpaka Moro kwenda kula Bata na Mapapa ya moro.

Hao mpaka terminal pub bhn kulikuwa na waluguru band
Unajua band ikikolea ndo unakunywa zaid hatari firee hamadi nimekunywa savvana si chini ya 23 bhn weee nikalewa chakar.

Aisee mwenzenu nimelala chooni khaa pombe mm naaacha kwanza.

Nimeamka asubuhi najikuta nimelala toilet bila nguooo mimi kabisa naacha pombe

Hapa nipo kwenye basi narud dom sijala chochote hata ninywe maji narudisha chenchi naomben msaada nile nn sasa nikifika maana tumbo linauma na sina nguvu walevi nyiee mama nakufaaa hatari fireeeeeee.

JAMANI MSAADA mrangi nisaidie mdogo wakoo .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji39]

Jr[emoji769]
 
Naomba msaada wako ninywe nn niponee natia huruma hapa nilipo mgonjwa haswaa sjatia kitu toka asubuhi

Nilitaka niseme kitu ila acha tu nipige kimya...

God save us
 
Aisee nenda uoge ndoo saba kabla ya kula pole.
 
Subiri siku ukimbamba. Kuna kipindi nipopoka 1 week nakumbuka ikafika wakati nikaend kupombeka sinza. Kurudi nyumbani ilikuwa mtihani

God save us

Alafu sasa usingizi wa pombe sio usingizi mzuri kiafya. Pole sana mkuu. Mimi nakula vyombo ila kukesha nimeacha.
 
TANGAZO LA MUDA

Naaacha pombe kwa muda wa mwaka mzima.

Story iko hivi:

Jana nimetoka zangu Dom mpaka Moro kwenda kula Bata na Mapapa ya moro.

Hao mpaka terminal pub bhn kulikuwa na waluguru band
Unajua band ikikolea ndo unakunywa zaid hatari firee hamadi nimekunywa savvana si chini ya 23 bhn weee nikalewa chakar.

Aisee mwenzenu nimelala chooni khaa pombe mm naaacha kwanza.

Nimeamka asubuhi najikuta nimelala toilet bila nguooo mimi kabisa naacha pombe

Hapa nipo kwenye basi narud dom sijala chochote hata ninywe maji narudisha chenchi naomben msaada nile nn sasa nikifika maana tumbo linauma na sina nguvu walevi nyiee mama nakufaaa hatari fireeeeeee.

JAMANI MSAADA mrangi nisaidie mdogo wakoo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, asee ulisalimika lkn ?

MTC | 101| [emoji769]
 
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiache pombe ila punguza kidogo

Kunywa maji mengi utajisikia vizuri

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom