Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wadau mpoimara?. Mimi nalipa kodi zote.View attachment 1042491
.
IMG_20190310_182420.jpeg


Jr[emoji769]
 
Asante,haraka zetu zilituponza kulikuwa na foleni ,sasa hivi naendelea vizuri majeraha yanikosesha raha leo nimeshinda nimelala
Pole sana truly sorry for what happened

Jr[emoji769]
 
TANGAZO LA MUDA

Naaacha pombe kwa muda wa mwaka mzima.

Story iko hivi:

Jana nimetoka zangu Dom mpaka Moro kwenda kula Bata na Mapapa ya moro.

Hao mpaka terminal pub bhn kulikuwa na waluguru band
Unajua band ikikolea ndo unakunywa zaid hatari firee hamadi nimekunywa savvana si chini ya 23 bhn weee nikalewa chakar.

Aisee mwenzenu nimelala chooni khaa pombe mm naaacha kwanza.

Nimeamka asubuhi najikuta nimelala toilet bila nguooo mimi kabisa naacha pombe

Hapa nipo kwenye basi narud dom sijala chochote hata ninywe maji narudisha chenchi naomben msaada nile nn sasa nikifika maana tumbo linauma na sina nguvu walevi nyiee mama nakufaaa hatari fireeeeeee.

JAMANI MSAADA mrangi nisaidie mdogo wakoo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ulipatikana ndo maana mi sipendi kunywa ivo vitu, we badili mwelekeo tuu anza zako kunywa cocktail au Champagne huwezi kulewa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom