Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Naja😅..mabomu hakuna
Naja😅..mabomu hakuna
Naja[emoji28]..mabomu hakuna
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] tatz husemi km nxt week upo tuta1jumuika pa1
Picha pleaseNko Iringa nakunywa ulanzi kama wote na Dada zangu .. Bado tunaadhimisha siku mwanamke dunian
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema hicho nikidoke wakati nilikuwa napiga picha sio paja la mrembo. Ile pochi ya njano isikutishe
Sijalala!napumzika nusu saa alafu uu natokaa tena nakwenda kwenye mishe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hivi unalala saa ngapi?
Asante ni bodaduh
..nn kimesabisha..gari au boda..pole..nikisikia neno ajali huwa nakumbuka 2yrs ago jaman..jaman maumv ya vidonda vya ajali yasiskien tu..tmr ndo utafeel more pains..meza antipain mapema
pole sana
Asante
Asante,Morogoro road si unajua ilivyochafuka
Nishatoka nastua mwili na kahawa kwanza alafu niingie mapinga one timeMkuu hivi unalala saa ngapi?
Nishatoka nastua mwili na kahawa kwanza alafu niingie mapinga one time
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa Ila ukilewa mp panakuhusuNaona koo linapwetapweta ngoja ntoe lock kwanzaView attachment 1041729
Sent using Jamii Forums mobile app