Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Kunya bia ntalipa mayo kwa western union[emoji23][emoji23][emoji23]km ww unanipa ofa we sema[emoji23][emoji23][emoji23]
Naamhuu uzi sijawahi ona matusi kabisa kama njuzi zingine, wanywaji ni watu makini sana kudos
😂😂😂😂👐👐👐Kunya bia ntalipa mayo kwa western union[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua nini kimekufurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114]
..nn kimesabisha..gari au boda..pole..nikisikia neno ajali huwa nakumbuka 2yrs ago jaman..jaman maumv ya vidonda vya ajali yasiskien tu..tmr ndo utafeel more pains..meza antipain mapemaMimi Mida hii Naugulia maumivu tuu ,leo si nimepata ajali kwa mara kwanza jamani nimelia kama mtoto,ningevunjika sijui ingekuwaje
toa kwanza hyo avatar bas[emoji23]
Pole sana Mkuu. Kama hakuna madhara makubwa Mungu mkubwaMimi Mida hii Naugulia maumivu tuu ,leo si nimepata ajali kwa mara kwanza jamani nimelia kama mtoto,ningevunjika sijui ingekuwaje
Pole sana ndugu wap hapo??Mimi Mida hii Naugulia maumivu tuu ,leo si nimepata ajali kwa mara kwanza jamani nimelia kama mtoto,ningevunjika sijui ingekuwaje
Mie nshalpa jioniii..nw nipo tuliii ..full adabu kwa wazaz😊😊manengelo mimi nalipa kodi sijui ww uko???View attachment 1041899
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] nenda somalia
😂😂tangulia kwanza bwana
Nimeshafika tayari. Njoo basi[emoji23][emoji23]tangulia kwanza bwana