Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Bia zinaenda sana na dude hili
IMG_20190309_181705.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nna kiu kali sana ila nimekunywa dawa Azithromycin dose ya siku tatu, vipi nikipiga bia. 2 - 3 kuna ubaya?wataalamu wa afya
 
Hivyo ni vilabu vya Iringa hapa nilipo vilabu ni classy na clean mno. Mademu ni wakutosha na wote ni wa kienyeji... Ndio wanaonileta hapa kwa uumini wangu wa bidhaa za kienyeji. Situmii glasi natandika tarumbeta mwanzo mwenga.
Mamaaaa Iringa; tumekupoteza kwenye chama soon

God save us
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom