Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daah nna kiu kali sana ila nimekunywa dawa Azithromycin dose ya siku tatu, vipi nikipiga bia. 2 - 3 kuna ubaya?wataalamu wa afya

Mkuu umepasua mguu wa mbele nini ?
Wanasema hiyo dawa haina strong side effects mtu akitumia kilaji ila ushauri mzuri ni bora usinywe ili kuto kulifanyisha ini kazi kupita kawaida.
 
We gonga bia. Kama masaa nane yamepita.
Yaani mimi nikipewa dawa lazima nimuulize doc " vipi yale mambo naweza kuendelea kupig?" Iga mfano

God save us
 
Mkuu umepasua mguu wa mbele nini ?
Wanasema hiyo dawa haina strong side effects mtu akitumia kilaji ila ushauri mzuri ni bora usinywe ili kuto kulifanyisha ini kazi kupita kawaida.

Ha ha nimempigia jamaa yangu dokta kaniambia anapenda kujifunza kwa mifano, ninywe yeye atajifunza kitakachotokea, ila nisinywe pombe kali
 
Unamuonea hiyo dawa inatibu magonjwa mengi ikiwemo kuhara

God save us
 
Ha ha nimempigia jamaa yangu dokta kaniambia anapenda kujifunza kwa mifano, ninywe yeye atajifunza kitakachotokea, ila nisinywe pombe kali

Naona hapo kwenye kupasua mguu wa mbele umepakimbia. Usinywe sana mkuu hiyo dawa na pombe seems like haina shida lakini dawa ni dawa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom