mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,230
.Leo nipo zangu geto. Tanesco wamekata umeme na mimi nimeamua kujilipua na nyagi dry mixer embassy nyingi sana. Picha nimeshindwa kuwaletea umeme umezingua ila mkiona kimya ujue nimeshazima. Hapa nipo na mkubwa wao Bombadier napambana na pakti yangu ya ubalozi.
We just having fun
MiaNko na kamanda mapema sana tunafanya yetu
Ova
View attachment 1041327
Sent using Jamii Forums mobile app