Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,819
- 95,689
[emoji38][emoji38][emoji38] nitafata ushauri mkuuAcha pombe zinakutia hasara. Pombe ukinywa lazima zishuke downtown zikibaki juu Achana nazo fanya ishu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] nitafata ushauri mkuuAcha pombe zinakutia hasara. Pombe ukinywa lazima zishuke downtown zikibaki juu Achana nazo fanya ishu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuja kukuiba shaur zakoNdio jambo la msingi kimbizana na kimeo, ndio mda wa kusaka hela, hapo mimj ambacho ningefanya naoga maji baridi, pata glass ya maziwa naamsha, ila najua nikiwa kwenye mizunguko lazima nipate hata dk 30, za kulala huwa nnapaki sehemu nzuri nawasha AC, lock milango kisha usingzi mnene
Watakuja kukuiba shaur zako
Hahahaha uwe unalala kama Sungura Mkuu, kikubwa kama unajua una mishe kibao kesho kunywa kiasi wahi kupumzika basiiii hupati taabuHa ha hawaezi ninalala jicho moja tuu limefunga
Nikinywa pombe hazishuki chini, zinabaki kichwani
Hahahaha uwe unalala kama Sungura Mkuu, kikubwa kama unajua una mishe kibao kesho kunywa kiasi wahi kupumzika basiiii hupati taabu
Mkuu hii Ndo ile tunaita Kazi na dawa mbushi mbushi nyagi vant mwendo wa kupambana
Tatizo la walevi wengi humu ni wachoyo, hakuna kukaribishana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya Leo weekend mnakunywa nini?
Jana haikuwa poa kabisa
Nilianza na Valuer, ikaja konyagi, ikaja kvant nikamalizia na viceroy
Jr[emoji769]
Tatizo la walevi wengi humu ni wachoyo, hakuna kukaribishana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya Leo weekend mnakunywa nini?
Nilikuwa huko last week now nimesafiri, nafurahi kusikia unakaa chuga.Njoo chuga best ninakwenda kijiweni sasa
Njoo chuga best ninakwenda kijiweni sasa
Mkaribishe mwenzako acha kucheka ana kiu ya beer[emoji23][emoji28]Hahahaha
MTC | 101| 28 [emoji769]
Acha uchoyo umesahau methali mgeni njoo mwenyeji apone. [emoji28][emoji28]Nilikuwa huko last week now nimesafiri, nafurahi kusikia unakaa chuga.
Asante angalau umenialika[emoji23]