cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,433
Mimi bia ilinishinda chungu ,haipiti ata nifanye ninimambo yako nayaelewa sana wewe mdada...
Popote ulipo heshina kwako 🤪🤪
Mimi bia ilinishinda chungu ,haipiti ata nifanye ninimambo yako nayaelewa sana wewe mdada...
Popote ulipo heshina kwako 🤪🤪
Tena sweet safi kabisa mimi dry siwezi kunywa
Naona kitu kinatetema
Mimi bia ilinishinda chungu ,haipiti ata nifanye nini
Karibu,mojito au margarita au pina colada au strawberry lemonadeItabidi nikutafute weekend mmoja tufurahie kinywaji... 🤪
Ndiyo tunavyofanyaHahahaha, kumwakilisha
MTC | 101| [emoji769]
UnajuaKaribu,mojito au margarita au pina colada au strawberry lemonade
[emoji23][emoji23][emoji23]Kitu nimemiss ni fegi....
Yaani kuna muda shety ananinong'oneza si uvute puff mbili tuuu....
Sent using Jamii Forums mobile app
We will miss you here
KaribuMimi leo ntakunywa kwa macho tu maake vyuma vimekazaaaa hii wiki.
Lipia ushuru
Asante Cadey nije wapi kufuata hiyo ofa.Karibu
Asante sana Sir Mshana ni Kijijini mbali sana hata location inagoma kwenye GPS,nikiwa karibu na mjini vikikaza ntaweka location afu olewako uniyeyushe.Weka location ASAP upate msaada kwenye tuta tafadhali
Jr[emoji769]
Mi mwenyewe napewaga ofaAsante Cadey nije wapi kufuata hiyo ofa.
Dah basi itabidi nivumilie tu ntakunywa maji.Mi mwenyewe napewaga ofa